Immediate Past District Director, Emilia Siwingwa, DTM

How Toastmasters empowers individuals to be effective communicators and leaders.

Kisumu County endorses corporate club for Government employees seeking professional growth.

“We come into the space irrespective of our national and cultural differences, United under the umbrella of Toastmaster, make a difference in our lives and Influence People”- Emilia Siwingwa

Toastmasters International kufanya mkutano jijini Dar, watu 200 Africa mashariki kuhudhuria

Kiongozi wa Shirika lisilo la kiserikali Kanda ya Afrika Mashariki TOASTMASTERS International Emilia Siwingwa amesema kwamba watu zaidi ya 200 wanatarajia kushiriki kwenye mkutano wa mwaka wa shirikisho hilo unaotarajia kuanzia kesho Mei 19 jijini Dar es Salaam.

Taarifa ya Habari, Saa Tano Kamili Usiku, Mei 18, 2023.

TOASTMASTERS INTERNATIONAL WAKUBALIANA KUSHIRIKISHA WADAU ZAIDI WA MAENDELEO KUBORESHA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

TBCLIVE: ARIDHIO MEI 19,2023 (SAA 1:00-3:00 USIKU